Msanii kutokea lebo ya Kingsmusicrecords, Tommy Flavour ameachia album yake rasmiinayoitwa HeirToTheThrone huku ikiwa na jumla ya nyimbo 16.
Msanii huyo amewashirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Alikiba, Marioo, Masauti, Vanillah Music, Maud Elka, MwanaFA, Rapcha na Tanasha Donna