PICHA: Mwili wa Edward Lowassa ukiandaliwa kwa ajili ya kushushwa kaburini

Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa ukiandaliwa kwa ajili ya kushushwa kaburini leo kijijini kwake Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *