Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

PICHA: Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jambo Group, Salum Khamis Salum ni mmoja kati ya waombolezaji msiba wa Lowassa

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jambo Group, Salum Khamis Salum ni mmoja kati ya waombolezaji waliofika Kijiji cha Ngarash, Monduli Mkoani Arushaa kwa ajili ya kushuhudia mazishi ya aliyekua Waziri Mkuu hayati Edward Lowassa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *