“Omba Mungu akupa Mume Bora Mwenye kukuheshimu”- Wolper

Staa wa filamu nchini Jackilne Wolpler  ametoa ushauri kwa wanawake au mabinti wanaotamani na kutarajia kuingia katika Ndoa hivi karibuni.

Wolper ambaye pia anafanya biashara ametoa usahuri huo kupitia ukurasa wake wa Instagram

Mdogo wangu Ambae ujaingia kwenye Ndoa usiombe Mungu kupata Ndoa ,Omba Mungu kukupa Mume Bora Mwenye kukuheshimu Nakukuheshimisha,usiombe Tuu kuolewa hapana ombea Mume utakae Mpata asikuitie Aibu kila kukicha, pia ombea uzao wako kama umezaa Nae wanao wasiwe Natabia za uliyezaa Nae ili hao wanao ndio wakawe Faraja yako(🤰uzao ) ombea Tumbo lako..syo Memes Nakukumbusha Tuu..
.
.
lakini kama umeshaolewa Na yakakukuta Basi Marufuku kulia omba ku move one hapo hapo kwenye ndoa kuwa nandoa yako ya Njee ili usife kwa strees za Mtoto wa mtu uliyemkuta ukubwani na ndevu zake kikubwa heshima Tuu wakikutana wapigane mshindi Baki nae🥂🍾
.
.
cha Mwisho fanya haya kama una pesa 😂😂😂syo unasubiri Matumizj unakuwa na hasra hapana utaumia.. ..
Nakukumbusha kujipenda Nakupenda wanao ili uishi Muda mrefu Mwanaume asikufanye ufe ukaacha wanao haya Tulale 🤝
@min_wolpertz @mitindojr 🌹🌹Roho zangu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *