Majaribio ya Treni ya Umeme kuanza leo

Shirika la Reli Tanzania (TRC) litaanza safari za majaribio ya treni ya umeme kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Ni miezi michache iliyopita tangu agizo la Rais Samia la kutaka treni hiyo kuanza safari zake kati ya Dar es Salaam na Dodoma.

TRC, inaeleza kuwa majaribio hayo yataanza saa nne asubuhi, na vyombo mbalimbali vya habari vitarusha matangazo moja kwa moja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *