Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Novatus Dismas kucheza Champions League na Barcelona

Kiungo wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi ameripotiwa kujiunga na klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine akitokea Zulte Waregen ya Ubelgiji ambayo imeshuka daraja. Miroshi anatarajiwa kuonekana kwenye usiku wa Ulaya UEFA Champions League.

Shakhtar imepangwa kundi moja na Barcelona, FC Porto na Royal Antwerp kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hivyo tutegemee kumuona Novatus akichuana na wakali kama Robert Lewandowski, Frenkie de Jong na Ilkay Gundogun UEFA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *