Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuanzia leo Septemba 01, 2023 ikiwa ni takribani miaka 6 toka Dkt. Slaa alipoteuliwa kuwa Balozi.

P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz