Donald Trump, ameapishwa rasmi kuwa Rais wa 47 wa Marekani sambamba na makamu wake, JD Vance huku akitoa neno kuhusiana na na kunusurika mara kadhaa na kifo.
Akihutubia mara baada ya kuapishwa hii leo Januari 20, 2025, Trump amesema maisha yake yaliokolewa katika majaribio kadhaa ya mauaji, ili kuifanya tena Marekani iwe bora.