Mtandao wa Africa Facts Zone, umeweka orodha ya wasanii zaidi ya 10 kutoka Barani Afrika ambao wameweza kushinda tuzo za MTV European Music Awards (EMAs)
Upande wa Afrika Mshariki ni Diamond Platnumz na Alikiba. Ila Diamond anazo tuzo hizo tatu huku Alikiba akiwa nayo moja pekee.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz