Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rosa Ree atajwa na Grammy kwenye orodha ya wasani 10

Kutokea hapa 255, Msanii wa Hip Hop Rrosa Ree ametajwa na Grammy kuwa miongoni wa wasanii 10 wa Afro Hip Hop na
wakuangaliwa zaidi kutokea Barani Afrika.

Rosa anaungana na wanamuziki wengine kama Ffemi One kutoka Kenya, Shomadjozi kutoka Afrika Kusini ambao wanaleta mitazamo mpya katika tasnia ya muziki wa Hip Hop katika bara la Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *