Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ndoto ya Rema kumnasa Ice Spice imekamilika

Ndoto ya kijana kutoka Mavin Records Remainaenda kukamilika Ijumaa hii kwa kufanya kolabo na mwanadada #icespice na ngoma inatiwa Pretty Girl.

Katika tuzo za VMA hivi karibuni Rema aliweka wazi miongoni mwa ndoto zake ni kufanya kazi na Ice Spice na Megan Thee Stallion.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *