Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mama wa Burna Boy atoa siri nzito

Bi mkubwa wa  Burna Boy ambaye pia ndio meneja wake Bose Ogulu, amesema alingundua toka utotoni kuwa kijana wake ni mtu noma sana.

Akizungumza na mwandishi wa BBC katika mahojiano ya hivi karibuni amefunguka kuwa “Akiwa na miaka 13 au 14 niligundua kuwa kijana wangu ni bora kwenye fani flani na nilikuwa tayari nimuona studio, akiwa anaunda midundo ya bendi ya shule.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *