Mtandao wa Chart Tanzania, umetaja orodha ya wasanii 10 wa Bongo Flava waliotazamwa zaidi YouTube mwezi Machi.
![](https://jambofm.co.tz/wp-content/uploads/2024/04/Snapinsta.app_434601627_18011931038516733_8160807573627739941_n_1080-1024x1020.webp)
Wasanii hao ni:-
1. Diamond Platnumz 25.3M
2. Zuchu 13.1M
3. Rayvanny 10.8M
4. Harmonize 10.7M
5. Jux 7.8M
6. Alikiba 6.6M
7. Mbosso 6.5M
8. Jay Melody 5.2M
9. Nandy 4.48M
10. Marioo 4.42M