Mtandao wa Chart Tanzania, umetaja orodha ya wasanii 10 wa Hip Hop waliotazamwa zaidi YouTube mwezi Machi.

Wasanii hao ni:-
1. Darassa 2.4M
2. Billnass 1.7M
3. Mr Nay 1M
4. Professor Jay 678k
5. G Nako 595k
6. Rosa Ree 344k
7. VivaRoma 259k
8. AY Masta 236k
9. Mwana Fa 210k
10. Stamina Shorwebwenzi 171k