G-Nako awatishia Weusi, kuvujisha ngoma

Memba wa kundi la Weusi, G-Nako amewataka memba wenzake wa kundi hilo kuhakikisha wanatoa ngoma zao ambazo wamerekodi, kwani wakichelewa yeye ataziachia kwa kile anachoamini ngoma hizo ni kali.

Gnako amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, kwa kuona kundi lao limekaa kimya kwa takribani mwaka mmoja bila kuachia kazi na ndani wana kazi nyingi na nzuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *