Mwili wa Edward Lowassa utaagwa kesho katika ukumbi wa Karimjee

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa utaagwa Februari 13 (kesho) katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Baada ya hapo Mwili wa Lowassa utasafirishwa kwenda Monduli, Arusha, Februari 15 na kuzikwa Februari 17, 2024 nyumbani kwao, ambapo Rais Samia Suluhu ataongoza mazishi hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *