Mshika rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Mkenya Kelvin Kiptum, 24, amefariki dunia katika ajali ya barabarani siku ya jana jumapili Februari 12.

Kelvin amefariki pamoja na kocha wake, Gervais Hakizimana wa Rwanda, ambaye alikuwa nayekwenye gari . Ajali hiyo imetokea magharibi mwa Kenya.