Mtoto wa Mohbad apata mlezi

Rafiki wa marehemu Mohbad, ambaye pia ni msanii wa muziki Bella Shmurda ameahidi kumlea mtoto wa marehemu ambaye amemuacha.

Shmurda amesema hayo kupitia Instastory yake na kueleza bado hayupo sawa kwa sasa kutokana na kifo cha mshikaji wake kwani kilichotokea Septemba 12, mwaka huu, pia anajikuta akitumie kilevi ilikuwa sawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *