Messi aipeleka Ballon d’Or Miami

Lionel Messi arejea kwenye timu yake akiwa na tuzo yake ya nane ya Ballon d’Or na amewaonyesha wachezaji  wenzake na wale wa akademi ya klabu ya Inter Miami. Zoezi hilo limefanyika  siku ya Alhamisi(Jana).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *