Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Msafara wa Paul Makonda wapata ajali mkoani Mtwara

Msafara wa Katibu wa NEC itikadi uenezi na mafunzo wa CCM Paul Makonda umepata ajali katika eneo la Masasi mkoani Mtwara, majira ya saa 9 alasiri imehusisha zaidi ya magari 7 yaliyokuwepo katika msafara wa muenezi  uliokuwa unatoka mkoani Ruvuma kuelekea jijini Dar es salaam

Ambapo watu wapatao Zaidi ya watano wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospital ya mkoa wa Mtwara na huku kukiwa hakuna kifo chochote.

Na hali ya kiafya ya Katibu wa Nec itikadi uenezi na mafunzo wa Ccm Paul Makonda ipo salama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *