Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mrembo afariki akifanyiwa upasuaji wa goti

Mwanamitindo na Mtangazaji wa TV kutoka Brazil, Luana Andrade (29) amefariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa mafuta kwenye goti lake.

Inaelezwa mrembo huyo alikutwa na umauti huo siku ya jumanne akiwa ICU , baada ya kupata shida ya kupumua wakati wa upasuaji huo uliofanywa na Daktari aliyeajiriwa na familia yake akitokea Hospitali ya São Luiz huko Sao Paulo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Globo 1, mrembo huyo pia aligundulika kuwa na ugonjwa wa thrombosis – (Kuganda kwa damu ambapo hufanya ishindwe kupita kwenye mishipa).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *