Kutoka upande wa Kulia ni Msemaji wa Simba Ahmed Ally, akifuatiwa na Msemaji wa Yanga Ali Kamwe kisha Aliyekuwa Msemaji wa Simba na Yanga Haji Manara wote hawa wamekutana Bungeni Dodoma leo ambapo, Bunge linatarajia kusoma Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Unadhani hapa stori gani zinapigwa zaidi.?


