Muda umefika kwa Yemi Alade  kuolewa?!

Staa wa muziki Nigeria, Yemi Alade, amefunguka kuhusu marafiki zake na familia yake kumshinikiza kuolewa kwa sasa.

“Kiukweli napokea shinikizo la kuolewa na familia pamoja na marafiki zangu, na unajua shinikizo likitoka kwa familia ni jambo gumu kupinga kwa sababu linatokana na watu ninaowaheshimu, ila najua wakati ukifika basi itatokea tu,” amesema Yemi kupitia Cool FM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *