Mike Tyson na Daniel Puder wamefungua shule

Bondia mstaafu kutoka Marekani, Mike Tyson na nyota wa MMA Daniel Puder  wamefungua shule huko Arizona iitwayo Tyson’s Transformational yenye lengo la kusaidia watoto kupata elimu.

Mike na Daniel Puder wamebainisha hayo Alhamisi ya jana Febuari 1 kupitia TMZ.

Mbali na haya pia inaelezwa Mike na Daniel wataandaa tamasha ambalo litasaidia kupata pesa ilikusaidia vijana wa mtaani kweza kupata elimu katika shule hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *