Meneja wa Rayvanny aangua kilio baada ya kupewa zawadi

Usiku wa kuamkia leo CEO wa NextlevelMusic Rayvanny amemkabidhi zawadi ya aina ya Crown Meneja wake Sumbebaba

Baada ya Meneja kupewa gari hilo ndipo akaanza kuangua kilio.

Zoezi la kutoa zawadi hilo limefanyika kwenye Ofisi za lebo hiyo maeneo ya Mbezi beach Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *