Mgeni rasmi katika mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni Henock Inonga

“Mgeni rasmi katika mchezo dhidi ya Jwaneng Galaxy ni Henock Inonga sababu ndio mchezaji pekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ameifikisha timu yake ya taifa kwenye nafasi ya nne kwenye AFCON 2023.”- Ahmed Ally. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *