Mashujaa FC watawakaribisha Simba SC Kigoma Feb.3

Baada ya ligi kuu kusimama kwa muda kutokana na Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inayoendelea Ivory Coast, Bodi ya Ligi Nchini imetangaza maboresho ya ratiba ya NBC Premier League ambapo katika maboresho hayo ligi kuu inatarajiwa kurejea Februari 2, 2024 na siku hiyo Kagera Sugar ataavaana na Yanga SC katika Dimba la Kaitaba Mkoani Kagera wakati Februari 3, 2024 Mashujaa FC watawakaribisha Simba SC katika Dimba la Lake Tanganyika Mkoani Kigoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *