Katika tetesi za usajili Klabu ya soka ya Liverpool na Manchester City zinatajwa kuwa katika mbio za kumsajili kiungo wa kati wa Ujerumani Joshua Kimmich 28, kutoka Bayern Munich.

P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz