Ufaulu waongezeka 89% kidato cha nne

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 25,2024 limetangaza matokeo ya kidato Cha nne uliofanyika mwaka 2023 ambapo ufaulu umeongezeka.

Akizungmza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam Katibu mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania Dkt Said Mohamed amesema ufaulu umeongezeka hadi kufikia asilimia 89 ukilinganisha na mwaka 2023 .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *