Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kwa sasa Diamond Platnumz na Zari ni ‘Kaka na Dada’

Staa wa muziki Diamond Platnumz ameachia video akiwa na mama Watoto wake Zari The Boss Lady. Video hiyo imefanywa ya muunganiko kwa wawili haa(Partnership) kwenye kurasa  zao za Instagram na Diamond amemuita Zari ‘Dada’.

Hata hivyo inaelezwa mume wa Zari, Shakib amefuta baadhi ya picha alizokuwa ameweka kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na  Mkwewe(Zari).

Diamond kwa sasa yupo nchi Afrika Kusini kwaajili ya kuitazama familia yake na kazi zke za kisanii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *