Mchezaji wa Inter Miami na Argentina Leomessi ametaja ngoma 60 ambazo anazisikiliza mara nyingi wakati anafanya mazoezi kabla ya mechi
Messi amezitaja nyimbo hizo kupitia mtandao wa Apple Music huku wasanii kama Bad Bunny, Drake, Rihanna , Rick Rossy na wengineo wapo kwenye orodha yake.