Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Kijana wa miaka 37 ajiachia na mwanamke wa miaka 77

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamitindo Amber Rose, Alexander Edwards ‘AE’ amenaswa jana (Septemba 27,2023) huko Mjini Paris kwenye maonyesha ya mitindo ya Balmain fashion show akiwa na mpenzi wake mpya aitwe Cher ambaye ni msanii wa muziki, filamu na Mtangazaji.

Unaambiwa Alexander ana umri wa miaka 37 na mwanamama huyo ana miaka 77, yani wamepisha miaka 40.

Agosti 2021, AE na Amber Rose waliachana baada ya mwanaume huo kudaiwa kuwa msaliti kwa mpenzi wake, yani alichepuka na wanawake wapatao 12. Amber na AE wamefanikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye Slash.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *