Hospitali yadai alifariki kabla ya kufika hapo

Kituo cha afya cha Perez Medcare, kimesema kuwa walipokea mwili wa marehemu Mohbad Septemba 12 akiwa tayari ameshafariki yani alikuwa amekakamaa muda mrefu kabla ya mwili wake kuletwa hapo.

Taarifa hiyo ya kituo hicho cha afya imetolewa kwenye akaunti yao rasmi ya Instagram, siku ya Jumatatu, Septemba 25, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *