Tanzania, Kenya na Uganda wenyeji AFCON2027

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027. Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *