Staa wa muziki Harmonize_tz anaingia kwenye orodha ya wasanii watano Tanzania wenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao wa Instagram ambapo leo amefikisha wafuasi Milioni 10.
Nafasi ya kwanza inaongozwa na Diamond Platnumz, ikifuatiwa na Wema Sepetu, kisha Hamisa Mobetto na Shilole.