Fid Q ashanga wanaoshangaa shoo ya Rich mavoko, Simiyu

Wakati mitandao ya kijamii ikiendelea kujadili shoo ya Rich mMavoko aliyofanya huko Kanda ya Ziwa, Rapa Fid q amesema ameongea na Rich Mavoko na anacheka sana namna anavyotrend mtandaon.

“Yote na Yote: ni mzima wa AFYA na amecheka sana baada ya kugundua anatrend huku, zaidi ametusisitiza tuendelee kumkumbuka kwenye maombi na sala ili maokoto yawe mengi zaidi ,” ameandika Fid Q kwenye ukurasa wake wa Twitter ambapo kumeibuka mjadala wa shoo ya mavoko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *