Doja Cat ala za uso

Mashabiki kutoka mitandao ya kijamii wamelaani kitendo cha msanii wa Doja Cat, alichofanya kwenye video yake mpya ya Demons, kwa kuonekana kama pepo mweusi na kumsumbua muigizaji wa filamu ya ‘Wednesday’ Christina Ricci.

Video hiyo ambayo imetoka Septemba moja, imeonyesha kutowavutia baadhi ya mashabiki wakiwemo wa Afrika Kusini, panapotajwa ndio asili ya msanii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *