
Kwa mujibu wa Mwanasheri wa Dulla Makabila Davis Ngonyani amejibu kuwa mteja wake hajashtakiwa na Haji Manara kama ambavyo inaelezwa mtandaoni bali ameitwa hapo polisi Osterbay kuweka mambo sawa kuhusu ngoma yake ya #Furahi
Naye pia Dulla amefunguka kuwa wimbo wake wa Fuhari ndio chanzo cha kuitwa hapo kwani unaonekana unamlenga mtu fulani.