Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Watuhumiwa 76 wakamatwa Shinyanga

Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limeendea na jitihada za kuimarisha ulinzi na usalama na kuzia uhalifu ambapo limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali vilivyokuwa vimeibiwa katika maeneo tofauti mkoani hapa.

Hayo yameelezwa na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Acp Janeth Magomi wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari ambapo pia ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wakificha sukari kwa makusudi ili kuchochea mfumuko wa bei kwa bidhaa hiyo na kusababisha usumbufu kwa jamii na kusema jambo hilo ni uhujumu wa uchumi .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *