Haji Manara afunga ndoa ya tano na ZaiyLissa

Mwanamitandao Haji Manara amefunga ndoa muda mchache uliopita na muigizaji wa Filamu ZaiyLissa huko Mbagala jiji Dar Es Salaam.

Hii ni ndoa ya tano kwa Haji Manara na ndoa ya tatu kwa mrembo huyo ambaye anaigiza tamthilia ya Jua kali.

Haji na Zaiylisa wamekuwa kwenye mahusiano ndani ya muda mfupi baada ya binti huyo kuachana na aliyekuwa Mumewe Dulla Makabila.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *