Diddy na Cassie wamaliza kesi yao

Ile kesi ya mtu mzima Diddy aliyoshutumiwa na Ex wake ,Cassie siku moja tu iliyopita, akidai kumbaka na kufanyiwa unyanyasaji wa kingono imeisha.

Inaelezwa kuwa pande zote mbili zimefikia muafaka siku ya jana (Ijumaa)

“Nimeamua kusuluhisha suala hili kwa amani. Nina washukuru familia yangu, mashabiki, na wanasheria kwa usaidizi wao,” amesema Cassie

Pia Diddy amesema kuwa “Tumeamua kutatua suala hili kwa amani. Namtakia kila la heri Cassie na familia yake.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *