Baada ya mtandao wa Chartdata kutaja orodha ya wasanii 10 wa wanamuziki wa Tanzania waliotazamwa zaidi youtube Januari 2024, Staa wa Muziki Diamond ambaye ameshika nafasi ya kwanza amewataka wasanii wenzake wanaoshindana naye kuhakikisha wanaongeza kasi.

