PICHA: Rais Dkt. Mwinyi akutana na Mkuu wa masoko wa Chelsea

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa masoko na mauzo Barnes Hampel wa timu ya Chelsea ya England na ujumbe wake Ikulu Zanzibar leo tarehe 1.2024.

Katika mazungumzo yao wamezungumzia kuhusu kuitangaza Zanzibar katika sekta ya utalii na kuanzishwa kwa Academy za mpira wa miguu nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *