Cristiano Ronaldo kuikosa mechi dhidi ya Lionel Messi

Nyota wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ameondolewa katika kikosi cha timu yake na kocha Luis Castro kwenye mchezo wa Riyadh Season Cup dhidi ya Inter Miami baada ya kupata na majeraha akiwa ziarani nchini China.

Hivyo Rolnado atashihudia mechi hiyo na Inter Miami kesho siku ya Alhamisi (Februari 1), akiwa jukwaani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *