Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Milioni 300 husamehewa kila mwezi kwa wananchi wasiomudu gharama za matibabu

Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dar es Salaam imesema imekuwa ikitoa msamaha wa matibabu wenye thamani ya TZS milioni 300 kila mwezi kwa wananchi wanaoshindwa kumudu gharama za matibabu.

Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi amesema japokuwa Serikali inasaidia kulipa gharama hizo, ni muhimu kwa kila mmoja kuwa na bima ya afya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *