Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Chukwueze aikataa Arsenal na kutua AC Milan

Kwa muda mrefu Arsenal imekuwa ikiisaka saini ya winga raia wa Nigeria Samuel Chukwueze lakini nyota huyo ameamua kujiunga na wakali wa Serie A, AC Milan.

Chukwueze (24) amejiunga na AC Milan kwa dau lenye thamani ya pauni milioni 20 na nyongeza ya Milioni 8 (Add-Ons) mkataba wa miaka mitano akitokea Villarreal FC ya Hispania.

Msimu uliopita mchezaji huyo aliibuka mchezaji bora wa Laliga kwa wachezaji wa Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *