CHADEMA watangaza maandamano awamu ya pili

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Tunduma mkoani Songwe jana. Picha na Mtandao

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *