Mtanzania aliyekamatwa na dawa za kulevya ahukumia miaka 45 Jela, nchini Kenya

Mtanzania Maimuna Jumanne Amir amehukumiwa miaka 45 na Mahakama ya nchini Kenya baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine.

Maimuna alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi mnamo Machi 2021, akiwa na kilo 5.3 za heroine yenye thamani ya Ksh.16,167,000. Sawa na Mil.

256,355,229 za Kitanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, hukumu ya mtuhumiwa huyo iligawanywa kwa makosa mawili, moja ikiwa kusafirisha dawa za kulevya na ya pili kupatikana amebeba dawa za kulevya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *