Mkali wa “Formula” Joh Makini ameweka wazi kusikitishwa na kuumizwa na kile kinachoendela kwenye kazi yake ya Formula ambayo ameitoka hivi karibuni akiwa amemshirikisha Jay Melody na Bien kutoka Kenya ambao wote wameshirikishwa kwenye ngoma za wasanii wengine ambao no Diamond Platnumz “Mapoz” na Harmonize “I made It”
“HIii tasnia yetu kuna viti vinafikirisha sana wakati mwingine kufundisha uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho safi unapokuja wakati wa kushiriki promo kwa faida ya oande zote unakuta mtu kawekewa masharto magumu kama utajiri wa kishirikina,” ameandika Joh.