Bongo yaangukia pua ‘ Spotify’

Mtandao wa Spotify umetoa orodha ya wasanii 31 barani Afrika wanaosikilizwa zaidi huku Nigeria ikiongoza kwa kutoka wasanii wengi ambao wapo 22.

Na upande wa Afrika Mashariki haijatoa hata msanii mmoja.

1. Rema – 34.7 M

 2. Tyla – 30.3 M

3. Burna Boy – 16.6M

4. Tems – 15.5M

5. Libianca – 11.67M

6. Ayra Starr – 11.66M

7. Soolking – 10.6M

 8. Wizkid – 10.29M

9. CKay – 10.18M

10. Davido – 8.7M

11. Fireboy – 8.2M

12. Omah Lay – 7.2M

13. Asake – 6.94M

14. Victony – 6.5M

15. Amaarae – 6.4M

16. Seether – 6.3M

17. Oxlade – 5.7M

18. Lojay – 5.5M

19. Tempoe – 5.2M

20. Obongjayar – 4.8M

21. Kizz Daniel – 4.7M

22. Sarz – 4.6M

23. BNXN – 4.4M

24. Master KG – 4.2M

25. Olamide – 4.1M

26. Mr Eazi – 3.9M

27. Sherine – 3.69M

28. Young Jonn – 3.67M

29. King Promise – 3.5M

30. K’Naan – 3.3M

31. Adekunle Gold – 3M

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *